afyatips

@afyatips200

990 posts1206 followers2927 following
TIBA YENYE UHAKIKA 👉U. T. I ..sugu 👉Fangasi sugu 👉P.i.d sugu 👉Uvimbe 👉vidonda vya tumbo. 👉 Matatizo ya uzazi kwa me/ke 👉CALL ..0657178877/0754604716.
Download All
Usiendelee kuteseka na tatizo la uzazi.

#niulizeafyatips200 
#tibasahiinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislael14 minutes agoDownload
Ugumba umegawanyika katika maeneo makuu mawili. Kwanza ni ‘primary infertility’ ambapo mwanamke hana historia ya kuwa na mimba wala mwanaume hana historia ya kumpa mwanamke mimba.

Ugumba wa aina ya pili ni ‘secondary infertility’ ambapo mwanamke anayo historia ya kuwahi kupata ujauzito, haijalishi kama alizaaa au mimba ilitoka na mwanamume anayo historia ya kumpa mwanamke mimba na pia haijalishi kama mtoto alizaliwa au mimba ilitoka.

Tatizo la mwanamume kutoweza kumpa mwanamke mimba linaweza kusababishwa na kukosa nguvu za kiume hivyo kushindwa kufanya tendo la ndoa.

Hali hii ya kukosa nguvu inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali kwani yenyewe si ugonjwa.

Kwa hiyo kitu cha msingi siyo kuongeza nguvu bali ni kufanya uchunguzi kuona tatizo ni nini na kulipatia ufumbuzi.

Tatizo lingine kwa mwanamume ni kutotoa mbegu za kiume za kutosha ua kutoa mbegu zisizo na ubora.

Hii ni baada ya kupima kipimo cha mbegu za kiume. Mbegu zinaweza zisizalishwe ua zikazalishwa pasipo na ubora unaostahili kurutubisha yai la mwanamke.

Matatizo mbalimbali yanaweza kuathiri uzalishaji wa mbegu za kiume kama uvutaji wa sigara,  unywaji wa pombe kali, maumivu ya korodani na utumiaji wa dawa za kulevya kama mirungi na bangi.

Mazingira ya joto katika korodani pia huathiri uzalishaji wa mbegu. Kutofahamu mzunguko wa hedhi wa mwanamke na kipindi gani mwanaume anaweza kumpa mimba ni changamoto nyingine kwa upande wa mwanaume.
Kwa upande wa mwanamke zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha awe na tatizo la kutopata ujauzito.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na matatizo katika mfumo wa homoni. Mwili wa mwanamke hutawaliwa na hizi homoni ambazo ni kemikali za asili ndani ya mwili.
Mabadiliko madogo yakitokea wakati wa kuzalishwa kwake au kuzalishwa wakati ambao si muafaka huweza kusababisha ashindwe kupata ujauzito.

Lipo pia tatizo la mwanamke kuwa na uzito mdogo au mkubwa kupita kiasi kutokana na mfumo wa ulaji na mazoezi ya mwili. Mambo haya huathiri uzalishaji wa kawaida wa homoni.
Ikumbukwe pia kuwa uwezo wa kupata ujauzito hupungua kadri umri unavyozidi kuongezeka tangu kipindi anapovunja ungo.

Kwa ushauri zaidi.
DM/Whatsapp....06571788779 hours agoDownload
KIFAHAMU CHANZO CHA HARUFU MBAYA UKENI.  Epuka Baadhi ya Vyakula Ambavyo ni Adui wa afya yako
Kuna aina nyingi ya vyakula ambavyo vianweza kukuathiri wewe kama mwanamke kwenye swala la uzazi, vyakula hivi vinaharibu mazingira ya uke, kuua bacteria wazuri na kubadili PH. Vyakula vyenye sukari, Pombe, ngano na vyakula vilivyosindikwa huchochea ukuaji wa Fangasi wa Candida.

Njia za Kutumia ili Kukata Harufu Mbaya Ukeni

Harufu kali kwenye uke mara nyingi inagundulika zaidi baada ya kufanya ngono na pia kwenye hedhi. kwahiyo badala ya kukimbilia spray na kujisafisha ukeni ili kuondoa harufu mbaya tuwasiliane nikupatie suluhisho.

Kwa ushauri zaidi.
DM/Whatsapp..0657178877

#niulizeafyatips200
#tibasahihinaafyatips200
#hakunatasakatikanyumbayaislael9 hours agoDownload
Dalili hizo huwanyima watu wengi amani.

Kwa ushauri zaidi.
DM/Whatsapp...065717887714 hours agoDownload
JE? UNAFAHAMU KAMA UWEPO WA SUMU NYINGI MWILINI NA UKOSEFU WA RISHE (VIRUTUBISHO) HUPELEKEA TATIZO LA HOMONAL IMBALANCE?

HIVYO NDIVYO VYANZO VIKUU,NA VINGINE VINGI.

#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislael 
Kwa ushauri zaidi
Dm/Whatsapp...065717887714 hours agoDownload
Fanya chakula kiwe dawa ,siyo dawa ziwe chakula.

Ndiyo maana tumekuletea kirutubisho hiki ili kuongeza  pale manapokosekana katika mlo wa kila siku.

#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislael15 hours agoDownload
FULAHI MAANA MUNGU ATAKUPATIA HITAJILAKO.

#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislaela day agoDownload
#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislaela day agoDownload
VYAKULA VYA WANGA NA SUKARI TUNAVYO KULA KWA WINGI NDIVYO VYANZO VIKUU VYA UGOJWA WA  FANGASI.  Hiki kirutubisho kitaenda kuondoa infection hizi ili uweze kuwa salama.

Kama unatatizo lolote karibu uniulize nitakupatia majibu.

#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislael2 days agoDownload
Nipigie nikupatie suluhisho sahihi.

DM/Whatsapp....06571788772 days agoDownload
Ute sahihi wa ovulation,kama hupati ute huo siyo rahisi Kupata ujauzito.

Wahi upate matibabu ili ufanikiwe hitaji lako.
DM/Whatsapp....0657178877

#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislael2 days agoDownload
KUTOKWA UCHAFU WENYE HARUFU MBAYA UKENI.

Uonapo dalili hizi kwako jua kizazi chako kimeshakuwa kwenye hatari sana.

Epuka UGUMBA na kansa ya shingo ya kizazi.
Njoo upate matibabu mapema.

#niulizeafyatips200 
#tibasahihinaafyatips200 
#hakunatasakatikanyumbayaislael2 days agoDownload